Wabunge wa Kiambu wamuandaa Alice Ng’ang’a kwa ugavana 2027 – Taifa Leo

Written by on March 21, 2024

Wabunge wa Kiambu wamuandaa Alice Ng’ang’a kwa ugavana 2027

NA LAWRENCE ONGARO

VIONGOZI wanane kutoka Kaunti ya Kiambu wameungana katika kinachoonekana ni kumvumisha mbunge wa Thika Alice Ng’ang’a kumuandaa kuwania ugavana mwaka wa 2027.

Mnamo Jumatatu, viongozi hao walizuru eneo la Ngoingwa mjini Thika kupima mwitikio wa wananchi kuhusu njama yao.

Viongozi hao nyuma ya Bi Ng’ang’a ni mbunge wa Gatundu Kusini Gabriel Kagombe, mbunge wa Lari Mburu Kahangara, mbunge wa Kikuyu Kimani Ichung’wah, mbunge wa Juja George Koimburi, mbunge wa Kabete . . .



Current track

Title

Artist