Wanasayansi watengeneza kinywaji cha muguka wakitetea uwezo wake wa kimatibabu – Taifa Leo

Written by on July 3, 2024

Wafanyabiashara wakichambua majani ya muguka. Wanasayansi wametengeneza juisi yake wakisema ina faida za kiafya. Picha|Maktaba

WATAALAMU katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Meru (MUST) wamejitokeza kutetea mimea ya miraa na muguka, wakisema licha ya kutumiwa vibaya, ina manufaa kimatibabu na thamani kuu kiuchumi.

Wataalamu hao wametengeneza na kusajili kinywaji cha Muguka cha kuongeza nguvu ambacho kitaanza kuuzwa sokoni hivi karibuni na kinatarajiwa kutoa ushindani mkali kwa vinywaji maarufufu kama vile Red Bull.

Muguka . . .



Current track

Title

Artist