Watu kumwaga unga Afisi za Rachel Ruto na Dorcas Gachagua zikifutiliwa mbali – Taifa Leo

Written by on July 1, 2024

Mkewe Rais Ruto, Rachael Ruto na Pasta Dorcas Gachagua, ambaye ni mke wa Naibu Rais Rigathi Gachagua. PICHA|HISANI

WAHUDUMU kadhaa katika Afisi za Mama wa Taifa Rachel Ruto na ile Mkewe Naibu Rais Dorcas Rigathi huenda wakajipata bila ajira kuanzia Julai 1, 2024 huku mipango inayoendeshwa chini ya usimamizi wa wawili ikitarajiwa kukwama.

Hii ni baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa afisi hizo mbili hazitafadhiliwa kwa pesa za umma katika mwaka wa kifedha 2024/2025 unaoanza Julai 1.

Dkt Ruto, ambaye alikuwa akihojiwa na wahariri kutoka mashirika makuu ya . . .



Current track

Title

Artist