Wenyeji Ujerumani, kuanzisha ngoma Ijumaa usiku dhidi ya Scotland – Taifa Leo

Written by on June 14, 2024

Euro 2024: Wenyeji Ujerumani, kuanzisha ngoma Ijumaa usiku dhidi ya Scotland

MUNICH, Ujerumani

Wenyeji Ujerumani wanatarajiwa kuanza Kombe la Ulaya (Euro 2024) kwa kishindo watakapomenyana na Scotland katika mechi ya Kundi A ugani Allianz Arena Ijumaa, Juni 14, 2024 usiku.

Wajerumani, ambao walishinda makala ya 1972, 1980 na 1996, wana rekodi nzuri dhidi ya Scotland.

Vijana wa kocha Julian Nagelsmann wamepiga Scotland mara sita na kutoka sare mara mbili katika mechi nane wamekutana mashindanoni na . . .



Current track

Title

Artist