Arsenal, Man City wala kavu katika kipute cha Klabu Bingwa Ulaya – Taifa Leo

Written by on April 17, 2024

Arsenal, Man City wala kavu katika kipute cha Klabu Bingwa Ulaya

NA LABAAN SHABAAN

BAYERN Munich ilishinda kwa bao moja nunge dhidi ya Arsenal ugani Alianz Arena ili kuwabandua Waingereza nje ya Mashindano ya Klabu Bingwa Ulaya katika hatua ya robo fainali.

Na huko ugani Etihad, miamba Manchester City walibanduliwa na Real Madrid kupitia mikwaju ya penalti baada ya mambo kuishia sare ya jumla ya mabao 4-4 kwenye muda wa kawaida na wa ziada.

Bao la Joshua Kimmich lilishikilia miamba wa Ujerumani kufikia dakika ya 94 hadi . . .



Current track

Title

Artist