Arsenal yaendeleza maangamizi ikipanda viwango vya juu – Taifa Leo

Written by on March 13, 2024

Arsenal yaendeleza maangamizi ikipanda viwango vya juu

Na MWANGI MUIRURI

KLABU ya Arsenal iliponyoka aibu ya kutimuliwa kutoka dimba la Klabu Bingwa Ulaya (Uefa) na timu ya FC Porto baada ya kuibuka mshindi 4-2 kupitia mikwaju ya penalti.

Hali hii iliudhi kwa kiwango kikuu mashabiki wa Manchester United hasa katika mji wa Karatina, Kaunti ya Nyeri ambapo mshirikishi wao, James Ngunjiri, aliteta kwamba kelele za wafuasi wa Arsenal zitasumbua dunia nzima.

“Walipopaa hadi juu ya jedwali mnamo Jumapili baada ya Liverpool na Manchester City kutoka sare . . .



Current track

Title

Artist