Barcelona yalia na kusaga meno huku Dortmund wakipepea Uefa – Taifa Leo

Written by on April 17, 2024

Barcelona yalia na kusaga meno huku Dortmund wakipepea Uefa

BARCELONA, Uhispania

KOCHA Xavi Hernandez wa Barcelona amesema maamuzi mabaya ya refarii yalisababisha timu yake kubanduliwa na Paris Saints-Germain (PSG) katika robo-fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya (UEFA).

Kwenye mechi hiyo iliyochezewa Olympic Stadium Lluis, Jumanne usiku, Barcelona walifunga mapema na kuongoza kabla ya PSG kutoka nyuma na kuibuka na ushindi wa jumla wa 6-4 kutokana na mabao ya haraka kupitia kwa Kylian Mbappe (2) na Ousmane Dembele.

Katika robo-fainali nyingine iliyochezwa Jumanne, wenyeji Borussia Dortmund . . .



Current track

Title

Artist