Fahamu magonjwa yanayoweza kuenea kwa kasi msimu huu wa mafuriko nchini – Taifa Leo

Written by on April 30, 2024

Fahamu magonjwa yanayoweza kuenea kwa kasi msimu huu wa mafuriko nchini

NA WANGU KANURI

KWA wiki kadhaa sasa, tumekuwa tukishuhudia mvua kubwa ambayo imesababisha majanga tofauti nchini.

Angalau watu 70 wamepoteza maisha yao huku maelfu ya wengine wakibaki bila makao kwa mujibu wa idadi iliyohesabiwa wikendi.

Mvua hii ambayo imeendelea kunyesha, imesababisha pia mmomonyoko wa udongo, mito ikavuja kingo zake na barabara zikaharibiwa.

Huku Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa likishauri Wakenya kuwa mvua itaendelea kunyesha na kusababisha . . .



Current track

Title

Artist