Ni mapambano ya piga nyofoa kombe la Europa Liverpool wakisaka muujiza – Taifa Leo

Written by on April 18, 2024

Ni mapambano ya piga nyofoa kombe la Europa Liverpool wakisaka muujiza

PAMBANO kubwa linasubiriwa ugani Olympic Stadium jijini hapa Alhamisi usiku AS Roma itakapoalika AC Milan katika mkondo wa pili wa robo-fainali ya UEFA Europa League.

Chini ya aliyekuwa ya jagina wa klabu hiyo, Daniele De Rossi aliyeteuliwa mwezi Januari kuwa kocha mkuu, AS Roma imeimarika kwa kiasi kikubwa huku ikiandikisha matokeo ya kuridhisha katika mechi kubwa.



Current track

Title

Artist