Tamko la Rais litaua motisha wa madaktari hata wakirudi kazini – Taifa Leo

Written by on April 9, 2024

Tamko la Rais litaua motisha wa madaktari hata wakirudi kazini

Na BENSON MATHEKA

TAMKO la Rais William Ruto Jumapili iliyopita kwamba serikali haina pesa za kutimizia madaktari wanaogoma wakitaka kuongezewa mshahara matakwa yao linaweka nchi katika hali tata ikizingatiwa kuwa huduma katika hospitali za umma zimekwama.

Ni tamko linaloacha maswali kuhusu kujitolea kwa serikali kufanikisha sera yake ya mpango wa afya kwa wote na inachotaka Wakenya kusadiki ni kuwa mpango huo ni kashfa tu.

Sidhani kuna muujiza ambao serikali inaweza kutumia . . .



Current track

Title

Artist