Tunda la peazi ni nadra sokoni lakini ukilipata, kutakuboreshea afya barabara – Taifa Leo

Written by on April 23, 2024

Tunda la peazi ni nadra sokoni lakini ukilipata, kutakuboreshea afya barabara

NA PETER CHANGTOEK

MATUNDA ya mapeazi ni nadra sana kupatikana sokoni. Si wakulima wengi wanoikuza mipea nchini Kenya.

Hata hivyo, kuna maeneo kama vile Limuru, katika Kaunti ya Kiambu, ambapo mipea hupatikana.

Kwa sasa, huu ni msimu wa matunda ya mapeazi na yanapatikana kwa wauzaji mboga na matunda katika sehemu tofauti tofauti nchini, hasa jijini Nairobi.

Lakini je, wafahamu manufaa ya tunda hilo? Ni muhimu kufahamu manufaa ya mapeazi kwa mwili, na ni muhimu kula angaa peazi moja . . .Current track

Title

Artist