Wenger asema Arsenal wana uwezo wa asilimia 50 kushinda Bayern – Taifa Leo

Written by on April 17, 2024

Wenger asema Arsenal wana uwezo wa asilimia 50 kushinda Bayern

JOHN ASHIHUNDU NA MASHIRIKA

LICHA ya kupewa nafasi ndogo ya kushinda Bayern Munich Jumatano na kusonga mbele katika michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya (UEFA), kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger anaamini timu hiyo inaweza kushinda mechi hiyo ya marudiano, ugani Allianz Arena.

“Kila timu ina asilimia 50 kushinda mechi ya marudiano kati ya Bayern Munich na Arsenal na kufuzu kwa nusu-fainali,” alisema kocha huyo mkongwe raia wa Ufaransa.

Zilipokutana katika mkondo wa kwanza ugani Emirates, timu . . .



Current track

Title

Artist