Dawa za kusaidia kupata ashiki haziathiri akili, Watafiti sasa wabaini – Taifa Leo

Written by on February 12, 2024

Dawa za kusaidia kupata ashiki haziathiri akili, Watafiti sasa wabaini

Na CECIL ODONGO

DAWA ambazo zinatumika kutibu ubutu wa hisia za mapenzi kwa wanaume haziwezi kusababisha maradhi ya kiakili (Alzheimer), Watafiti wamebaini.

Kumekuwa na dhana kuwa dawa hizo zikitumika, zinaweza kusababisha mtu apotoke kiakili baada ya kufika kiwango fulani cha matumiz. Hii ni kwa sababu kwa kiasi fulani zinaweza kuathiri uwajibikaji wa seli za ubongo.

Hali hii imekuwa ikiwafanya . . .Current track

Title

Artist