Familia nyingi Afrika zakumbana na masaibu tele zikisaka huduma za afya – Taifa Leo

Written by on April 23, 2024

Familia nyingi Afrika zakumbana na masaibu tele zikisaka huduma za afya

NA PAULINE ONGAJI

KATIKA kijiji cha Jimbo, Kata ya Lukore, Kaunti ya Kwale, Bi Faith Kioko,26, anajiandaa kumpeleka mwanawe, mwenye umri wa miaka saba katika kliniki.

Mwanawe Bi Kioko hawezi kujifanyia chochote, na hivyo ni jukumu la mama huyu kumuosha, kumvisha, kumlisha, kumsaidia kwenda haja, kumbeba na hata kumpindua anapolala.

Tatizo lilianza mtoto huyu akiwa na miezi sita ambapo alianza kuwa na kifafa.

“Pia, niligundua kwamba alikuwa analala sana,” aeleza Bi Kioko.

Kulingana . . .



Current track

Title

Artist