Macho kwa Arsenal na Manchester City EPL ikichacha – Taifa Leo

Written by on May 4, 2024

Macho kwa Arsenal na Manchester City EPL ikichacha

Na MASHIRIKA

LONDON, UINGEREZA:

VIONGOZI Arsenal na nambari mbili Manchester City wanaalika Bournemouth na Wolves mtawalia, kila mmoja akitegea mwenzake ateleze ili abaki farasi wa pekee kwenye vita vinavyochacha vya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu (EPL).

Arsenal watalenga kusalia kileleni kwa kulipua nambari 10 Bournemouth ugani Emirates nao mabingwa watetezi City wako nyumbani Etihad dhidi ya nambari 11 Wolves.

Wanabunduki wa Arsenal wanajivunia rekodi nzuri dhidi ya Bournemouth ya . . .



Current track

Title

Artist