Serikali ya Kenya Kwanza ionyeshe nia njema kwa sekta ya elimu nchini – Taifa Leo

Written by on March 23, 2024

MUSYOKI: Serikali ya Kenya Kwanza ionyeshe nia njema kwa sekta ya elimu nchini

NA MAXIM MUSYOKI

SIKU tatu zilizopita, Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu wa Sekondari na Vyuo (Kuppet) Akelo Misori, alitishia kuongoza walimu kushiriki mgomo ikiwa serikali haitatuma Sh54 bilioni ambazo taasisi hizo zinaidai kabla ya muhula wa pili kuanza Aprili 29, 2024.

Kuppet ilichukua hatua hiyo baada ya katibu wa Elimu Msingi, Belio Kipsang kutangaza kuwa, serikali itatuma Sh6.25 bilioni wiki mbili zilizofuata kuanzia Jumatano iliyopita bila kurejelea kiasi ambacho chama . . .



Current track

Title

Artist