Opinion

Page: 6

Waislamu wa Masjid Jamia Nairobi wasikiliza mawaidha kabla ya Swala ya Ijumaa awali. Ni vyema kila mja apime maneno kabla ya kuyasema. PICHA|HAWA ALI KWA jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Tumejaaliwa siku hii tukufu, bora na aula ili kuambizana na kukumbushana kulihusu neno lake Mwenyezi Mungu. Ama […]

Africa will eventually rely primarily on renewable energy, as much of the rest of the world strives to — but on its own timetable. To achieve a carbon neutral future, African nations must have the underlying infrastructure and industry to make the dominance of renewables possible. But as things currently stand, most African states lack […]

Kalonzo Musyoka akishauriana na Raila Odinga awali. Picha|Maktaba UOGA wa kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka ndio unaochangia kuonekana kutishika na hatua ya kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuamua kushirikiana na Rais William Ruto baada ya kufeli AUC majuzi. Sikumbuki hata siku moja Bw Kalonzo ambaye ni mwanasiasa mkongwe mwenye tajriba pevu, akijihusisha kikamilifu na ufanisi […]

Rais William Ruto akiwa na Kinara wa ODM Raila Odinga. Picha|Maktaba JAMBO lisilopingika ni kuwa Rais William Ruto anataka kuongoza Kenya kwa miaka 10, tena kwa dhati ya moyo wake. Hatua ya kumtaka waziri mkuu wa zamani Raila Odinga kuongoza Tume ya Umoja wa Afrika (AU) ilikuwa juhudi ya kuondoa mpinzani mahiri katika uchaguzi ujao. […]

Beyond physical infrastructure, Africa’s integration requires modern software upgrades: the systems, policies, and institutional frameworks that power trade across borders. By positioning economic transformation at the heart of our integration agenda, Africa can advance up the value chain to generate wealth. By effectively mobilizing our own resources first, driving economic transformation, and building both the […]

Wagombeaji uenyekiti AUC, akiwemo kiongozi wa ODM, Raila Odinga, wakati wa mdahalo. Picha| Maktaba NAANDIKA kuwakanya wafuasi wa kinara wa Muungano wa Azimio, Bw Raila Odinga, wanaowatukana wale wanaosherehekea kushindwa kwake katika jaribio la kuwa mwenyekiti wa Tume ya Muungano wa Afrika (AUC) hivi majuzi. Nimesema kuwakanya – si kuwalaumu – kwa maana, labda kwa […]

For decades, the question of whether to rent or buy has divided opinions. Some see renting as financial freedom – flexibility without long-term debt. Others believe homeownership is the ultimate goal, a ticket to long-term stability and wealth creation. Now, with the government’s Affordable Housing Program, this debate takes on a new urgency. Should you […]

Waumini wa Kiislamu wakifuatilia mafundisho. Picha|Hawa Ali SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu Subhānahu Wata‘āla, swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad Swallallahu Alayhi Wasallam, maswahaba wake na watangu wema hadi siku ya Kiyama. Tunapoelekea katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, ni wajibu wetu kuukaribisha kwa shauku, furaha, na maandalizi ya kiroho na kimwili. Ramadhan ni […]

Beyond physical infrastructure, Africa’s integration requires modern software upgrades: the systems, policies, and institutional frameworks that power trade across borders. By positioning economic transformation at the heart of our integration agenda, Africa can advance up the value chain to generate wealth. By effectively mobilizing our own resources first, driving economic transformation, and building both the […]

Rais William Ruto, mwenzake wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu na mgombeaji kiti cha AUC Raila Odinga katika mkutano Tanzania. Picha|PCS BAADA ya jitihada za serikali ya Kenya kumsakia waziri mkuu wa zamani, Raila Odinga uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) kufeli, ni muhimu juhudi sawa na hizo zielekezwe kwa miradi ya maendeleo. Ingawa […]


Current track

Title

Artist