Opinion
Page: 5
Kiongozi wa ODM, Raila Odinga na baadhi ya viongozi wanachama na wafuasi wake. PICHA|MAKTABA KINARA wa Upinzani Raila Odinga na Rais William Ruto wanastahili wahakikishe kuwa Kaunti ya Kisumu inapata uwaziri kutokana na mchango na umuhimu wake kwenye siasa za nchi. Licha ya kuwa kitovu cha siasa za upinzani na mageuzi nchini, kwa sasa Kisumu […]
Alignment with Trump’s energy-first ethos would mean that Africa could unlock significant funding for wide-ranging fossil fuel projects, and not just the offshore oil and gas ventures that dominate the headlines. The continent should capitalize on all opportunities in onshore projects, wildcat wells (exploratory drilling in unproven areas), and the proliferation of numerous small operators. […]
Ubaguzi wa kirangi. PICHA|HISANI JARIBIO la mtu fulani kumshinikiza Rais wa Amerika, Donald Trump, amfukuze Gavana wa Nakuru, Susan Kihika, si la kuchekesha tu bali pia linafichua mambo kadha. Sharti niseme kwamba hilo si suala la jinsia, kwa hivyo wabunge wa kike waliolitwaa na kulifanyia kikao na wanahabari walilipunguzia umuhimu, likakaa kama masuala mengine mengi […]
Ndovu na pembe zake. PICHA|HISANI NDOVU anasubiriwa mlimani! Hivi akienda atafanikiwa kuukwea mlima, au una utelezi unaoweza kumbwaga hadi chini? Akwee asikwee mlima, wenyeji wa eneo hilo wanasema, “Ndovu hazikwi na pembe zake.” Ni msemo tulioachiwa na wahenga, lakini sasa umekuwa maarufu sana katika mazingira ya kisiasa. Kimsingi msemo huo unamshauri mtu asiwe zuzu wa […]
For many young Kenyans, life is full of ambition – dreams of landing a job, starting a business, joining university, or traveling beyond borders. But there’s one thing that can stop you before you even start: not having a national ID. For years, getting an ID was a frustrating process. The application fees were a […]
Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya. PICHA|HISANI MBUNGE wa Mumias Mashariki Peter Salasya anastahili kukoma kupimana ubabe na kumpiga vita Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kwa sababu atalemewa na ndio ataumia zaidi. Bw Salasya alinyoroshwa vizuri katika uga wa Nyayo na mashabiki wa soka wikendi. Waliomtia adabu walisikika wakisema anastahili kumheshimu Raila na Rais William […]
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana, Jackson Ole Sapit. PICHA|MAKTABA NI WAZI kuwa nidhamu imedorora katika jamii na iwapo hali hii itaendelea, nchi itakuwa pabaya. Ili kurekebisha hali hii, ni lazima viongozi ambao wanachangia pakubwa uozo uliopo kwa vitendo, matamshi na misimamo yao wawe mstari wa mbele kuchukua hatua za kimakusudi kama wanavyofanya maaskofu wa […]
Aliyekuwa Gavana wa Meru, Kawira Mwangaza. PICHA|MAKTABA HIVI umegundua kuwa watu wanaolialia eti Kawira Mwangaza ametupwa gizani si Wameru? Inaonekana Wameru karibu wote wameridhika na wanafurahia kuondolewa mamlakani kwa gavana wao wa kike. Niambie, Meru kumekolea taasubi ya kiume, au Kawira si mfano bora wa mwanamke bomba kwa viwango vya Kimeru? Nenda katafute sababu nyinginezo, […]
Waumini wa Kiislamu wajumuika kwa swala ya Eid awali. Swala ya jamaa ni bora kwa Muumin wa kiume. PICHA|MAKTABA KWA jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Alhamdulillahi. Sifa na shukrani zote zimwendee Muumba wetu, Mwenye-Enzi ambaye ametujaalia neema chungu nzima. Neema ya kuwa waumini wa dini hii tukufu […]
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi akiwa na Rais Ruto katika picha ya awali SINA hakika kiongozi wa majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ana akili timamu, lakini ninafurahia anavyotutobolea siri za nchi yake mtandaoni. Juzi amejigamba jinsi alivyowapeleka wanajeshi wake nchini Sudan Kusini ili kulinda maslahi ya Uganda na kumsaidia Rais Salva Kiir kudumu mamlakani. […]