Opinion

Page: 3

MUSYOKI: Serikali ya Kenya Kwanza ionyeshe nia njema kwa sekta ya elimu nchini NA MAXIM MUSYOKI SIKU tatu zilizopita, Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu wa Sekondari na Vyuo (Kuppet) Akelo Misori, alitishia kuongoza walimu kushiriki mgomo ikiwa serikali haitatuma Sh54 bilioni ambazo taasisi hizo zinaidai kabla ya muhula wa pili kuanza Aprili 29, 2024. […]

MUTUA: Serikali itukinge dhidi ya wadukuzi katika mitandao NA DOUGLAS MUTUA MPENZI wa TikTok utafanyaje ukiamka asubuhi moja upate mtandao huo haupo tena, hivyo huwezi kurekodi video za nyimbo na vichekesho, wala huwezi kuziona zozote zilizorekodiwa na kupakiwa huko na marafiki zako au watu mashuhuri unaofuata? Utakwenda kushtakia hali kwa nani au utasubiri mafundi wakutengenezee […]

MAONI: Benny Hinn aliacha nchi hoi badala ya kuiletea uponyaji Na LEONARD ONYANGO MHUBIRI Toufik Benedictus Benny Hinn alikuwa gumzo humu nchini wikendi iliyopita alipoongoza mkutano mkubwa wa maombi ya ‘kuponya nchi’ uwanjani Nyayo, Nairobi. Mhubiri huyo wa Amerika-Canada alikuwa amealikwa na serikali ya Kenya ‘kuponya nchi’. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba, Benny Hinn […]

MAONI: Anayetaka kumrithi Raila awe jasiri na mtetezi sugu wa raia Na CHARLES WASONGA SIASA za urithi wa kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya zimeanza kushuhudiwa katika nyanja tatu tofauti, ndani ya muungano huo, katika chama chake cha ODM na katika ngome yake ya kisiasa ya Nyanza. Hii ni baada ya mwanasiasa huyo mkongwe […]

MAONI: Afrika itapiga hatua hata zaidi watu wa nje wakiacha vurugu NA DOUGLAS MUTUA MWENYEKITI wa Tume ya Muungano wa Afrika (ACU) anayeondoka, Bw Moussa Faki, ameanza kunguruma mwishoni mwa kipindi chake cha kuhudumu. Juzi, ameyaambia mataifa tajiri yaliyo na mazoea ya kuingilia mambo ya ndani ya Afrika yakome, akasisitiza kwamba, Waafrika wana uwezo wa […]

President Hage Geingob was truly an African giant, but one whom far too many people didn’t know about. Namibia has President Geingob to thank for its rapidly developing green hydrogen sector, which will lead to even more jobs, business opportunities, and access to electricity for Namibians. The late Geingob’s visionary leadership, integrity, and his wise […]

MAONI: Umaskini pekee usiwe kigezo cha kuamua wa kupokea basari NA JURGEN NAMBEKA HATUA ya Gavana wa Lamu, Issa Timammy kutangaza kuwaondoa wanafunzi 700 kutoka kwa mpango wa ufadhili wa masomo, basari iliibua hisia kali miongoni mwa wakazi wa Lamu, ambao walisema watoto wengi huenda wasikamilishe masomo yao. Kulingana nao, hatua hiyo ingewafanya watoto wa […]

MAONI: Kuangamiza pombe haramu kutafaulu tu iwapo uchumi wa Kenya utaimarishwa Na BENSON MATHEKA VIFO vinavyotokana na unywaji wa pombe haramu yenye sumu kama vilivyotokea katika Kaunti ya Kirinyaga vimekuwa vikiongezeka kila siku. Viongozi wamekuwa wakiahidi na kuapa kuangamiza upikaji na uuzaji wa vileo haramu ambavyo vimekuwa vikiua vijana. Wanavyotoa ahadi hizi ndivyo watu wanapoendelea […]

Kushambuliwa hakutazuia shirika la NMG kutekeleza wajibu wake wa kutoa habari kwa umma KATIKA siku za hivi karibuni, taifa limeshuhudia kampeni ya chuki na potovu, iliyopangwa na yenye nia mbaya mitandaoni dhidi ya shirika la habari la Nation Media Group. Iwapo waendeshaji kampeni hiyo potovu wa kulipwa wangekuwa na uwezo, NMG ingekuwa imekufa na ‘iliyolala […]

In Africa, just like elsewhere, energy-intensive businesses are under great pressure to decrease CO2 emissions. Wärtsilä Energy knows more about this than most: many of our mining and industrial partners in Africa operate their microgrids, either from choice or necessity. While wind and solar power can offer emission-free energy at lower costs than fossil fuels, […]


Current track

Title

Artist