Politics

Page: 6

Junet haendi popote, asema Raila NA STEPHEN ODUOR KIONGOZI wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga, amekanusha madai ya kuwepo kwa njama ya kumtimua mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohamed kutoka kwa chama hicho. Akizungumza na wanachama wa ODM mjini Hola, Bw Odinga ambaye pia ni kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja-One […]

Seneta Wamatinga awataka viongozi Mlimani kudandia ‘basi’ moja NA WANDERI KAMAU SENETA wa Nyeri Wahome Wamatinga amesema ingekuwa vyema viongozi kutoka Mlima Kenya kushabikia vyama vyenye mizizi katika eneo hilo. Bw Wamatinga alisema malumbano ya kisiasa yanayoshuhudiwa huko yangeepukika kama kosa hilo lingeepukwa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2022. Kwa sasa, Bw Wamatinga anasema kuwa […]

Viongozi wa Agikuyu Rift Valley wamtaka Ndindi Nyoro kuwa na subira NA EVANS JAOLA JAMII ya Agikuyu katika eneo la Bonde la Ufa inayoegemea upande wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, imemtaka Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro awe na subira badala ya kufyatuka mapema na kumezea mate nafasi ya kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto […]

Kanini Kega: Kuna mkono fiche unaomfadhili Nyoro kumpiga vita Gachagua NA WANDERI KAMAU MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Kanini Kega amedai kwamba kuna mkono fiche unaotumia mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro kumpiga vita kisiasa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Bw Kega alisema kuwa ushujaa wa kisiasa ambao ameonyesha mbunge huyo ni nadra, ikizingatiwa yeye […]

Ndindi Nyoro atakubali wito wa kushirikiana na Maina Njenga? NA WANDERI KAMAU HATUA ya aliyekua kiongozi wa kundi la Mungiki, Bw Maina Njenga, kumrai mbunge Ndindi Nyoro (Kiharu) kubuni muungano wa kisiasa, imeibua maswali kuhusu ikiwa mkakati huo ndiyo njia mpya ya wawili hao kumpindua Naibu Rais Rigathi Gachagua kama kiongozi wa kisiasa wa Mlima […]

Maina Njenga: Ilitabiriwa mimi kuwa ‘kingpin’ Mlimani NA WANDERI KAMAU ALIYEKUWA kiongozi wa kundi haramu la Mungiki, Maina Njenga, sasa amedai kuwa kuna utabiri uliotolewa kwamba “mimi ningekuja kuwa kiongozi na msemaji wa kisiasa wa eneo la Mlima Kenya”. Bila kutoa ufafanuzi zaidi, Bw Njenga alisema kuwa utabiri huo umeanza kutimia. Kwenye mahojiano na kituo […]

Gavana Otuoma atafuta washirika wapya baada ya kuzomewa nyumbani NA HASSAN WANZALA GAVANA wa Busia Paul Otuoma sasa anaonekana waziwazi akitafuta washirika wapya baada ya kukataliwa nyumbani alipozomewa na umati kwenye mkutano wa kuwasajili wanachama wapya wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM). Mnamo Jumanne, Bw Otuoma alimtembelea Mkuu wa Mawaziri na Waziri wa Masuala […]

Gavana Kahiga awachemkia waliosema ‘Ndindi Tosha’ NA MERCY MWENDE GAVANA wa Nyeri Mutahi Kahiga ametishia kwamba migawanyiko inayoshuhudiwa katika eneo la Mlima Kenya itawaponza wakazi na wenyeji. Kauli yake inajiri siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa Murang’a kumuidhinisha Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro awe mgombea mwenza wa Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu […]

Mkutano wa mahakama na Rais utazaa haramu – Raila NA RUSHDIE OUDIA KIONGOZI wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga amemtaka Jaji Mkuu Martha Koome aachane na jitihada zake za kukutana na Rais William Ruto akisema hatua hiyo itasambaratisha nguvu za idara ya mahakama na taifa kwa ujumla. “Kuna kesi dhidi ya asasi ya urais […]

Wamuchomba adai Mlima Kenya hawajaonja matunda ya KKA NA WANDERI KAMAU MBUNGE wa Githunguri Gathoni Wamuchomba, ameikosoa vikali serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William Ruto, akisema kuwa imewahadaa wenyeji wa Mlima Kenya kuhusu ahadi ambazo ingewatimizia. Akihutubu Jumatano katika eneobunge lake kwenye hafla moja ya mazishi, Bi Wamucomba alisema ahadi nyingi ambazo serikali […]


Current track

Title

Artist