Politics

Page: 7

Mlima Kenya: Mwindaji wa kisiasa anayekosa ‘mbwa kiongozi’ NA WANDERI KAMAU WAKATI Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta aliondoka uongozini Septemba 2022, mojawapo ya maswali yaliyoibuka ni kuhusu yule ambaye angekuwa kiongozi na msemaji wa kisiasa wa ukanda wa Mlima Kenya. Machoni mwa wengi, Naibu Rais Rigathi Gachagua, bila shaka ndiye aliyeonekana kuwa mrithi wa Bw Kenyatta, […]

2027: Mawaziri watumia kandanda kujipanga? NA WANDERI KAMAU JE, huenda mawaziri katika serikali ya Rais William Ruto wameanza mikakati ya kujitayarisha kisiasa ielekeapo 2027 kupitia mashindano ya kandanda katika maeneo wanakotoka? Hili ndilo swali kuu ambalo limeibuka kufuatia hatua ya mawaziri kadhaa kuzindua mashindano hayo. Baadhi ya mawaziri hao ni Moses Kuria (Utumishi wa Umma), […]

Raila na Wanjigi: Urafiki wa presha inapanda, presha inashuka NA NDUBI MOTURI KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga mnamo Jumanne alikutana na kiongozi wa chama cha Safina Jimi Wanjigi, siku chache baada ya wawili hao kuonya kuitisha maandamano ili kuishinikiza serikali ipunguze gharama ya maisha. Bw Odinga na Bw Wanjigi walikutana katika mkahawa […]

Kalonzo, Karua vitani kuhusu kubuniwa kwa ‘Kamwene’ NA WANDERI KAMAU MIZOZO inayoukumba mrengo wa Azimio la Umoja inaonekana kuendelea kudorora, baada ya kiongozi wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, kutilia shaka kubuniwa kwa vuguvugu la ‘Kamwene’. Mnamo Jumanne, Bw Musyoka alilitaja vuguvugu hilo kama “butu kisiasa”, akisema hakuna ufanisi wowote wa kisiasa litakalopata. Vuguvugu hilo lilibuniwa […]

Sababu za Raila kukutana na Wanjigi NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, ameanza juhudi za kuwatafuta washirika wapya wa kisiasa, baada ya urafiki wake na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kusawiriwa na baadhi ya wachambuzi kama ulioingia doa. Mnamo Jumatano, duru ziliiambia Taifa Leo kuwa Bw Odinga amelazimika kuchukua hatua hiyo […]

Raila apangua mfumo wa usimamizi ODM kuzima blanda za uteuzi NA CHARLES WASONGA CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kimependekeza kuvunjilia mbali Bodi ya Kitaifa ya Uchaguzi (NEB) na kugatua majukumu yake hadi katika ngazi za kaunti katika kile kinachosemekana ni njia ya kumaliza udanganyifu nyakati za kura ya mchujo. Hatua hiyo iliyotangazwa Jumatano baada ya […]

Bado ana risasi? NA MOSES NYAMORI KINARA wa Upinzani Raila Odinga ameanza mikakati ya kujijenga upya kisiasa huku dalili za mapema zikionyesha huenda akabuni muungano mpya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Kiongozi wa Wachache katika Bunge la Kitaifa, Bw Opiyo Wandayi amefichua kuwa huenda wakautema muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya na kuanza […]

Kamwene: Makau Mutua amkinga Kalonzo dhidi ya makombora ya Karua NA WANDERI KAMAU MSEMAJI wa Sekretariati ya mrengo wa Azimio la Umoja, Profesa Makau Mutua, amemtetea vikali kiongozi wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, dhidi ya shutuma ambazo amekuwa akielekezewa na viongozi wa vuguvugu la ‘Kamwene’. Mnamo Jumatano, kiongozi wa Narc-Kenya, Bi Martha Karua, ambaye ni […]

Kuna mtu ataumia NA WYCLIFFE NYABERI UHASAMA wa kisiasa baina ya Gavana wa Kisii Simba Arati na Kiranja wa Wengi bungeni Silvanus Osoro, unaozidi kutokota kila kukicha, sasa umefikia viwango vya kutisha huku chama cha ODM kikidai kuwa maisha ya gavana huyo yako hatarini. Aidha, ubabe huo umeanza kuvutia hisia za Wakenya katika ngazi ya […]


Current track

Title

Artist