Politics

Page: 5

Acheni siasa za pesa nane – Lonyangapuo NA OSCAR KAKAI ALIYEKUWA Gavana wa Kaunti ya Pokot Magharibi John Lonyangapuo amewasuta viongozi waliochaguliwa eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa ambao wanaegemea Azimio la Umoja-One Kenya, kwa kufanya siasa za pesa nane na kusahau majukumu yao ya kutoa huduma kwa wapigakura. Kulingana na Lonyangapuo, viongozi hao […]

Shinikizo zazidi Mlima Kenya kuwa na chama chake cha kisiasa NA WANDERI KAMAU VIONGOZI zaidi wanaendelea kujitokeza kushinikiza kuwa lazima eneo la Mlima Kenya liwe na chama chake cha kisiasa ielekeapo Uchaguzi Mkuu wa 2027. Viongozi hao wanashikilia kuwa licha ya eneo hilo kuupigia kura kwa wingi mrengo wa Kenya Kwanza, na hata kupewa nafasi […]

Sababu za Raila kufyatuka unyoya kwa kuvumisha ODM NA WANDERI KAMAU WASHIRIKA wa kisiasa wa kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, wameanza kuingiwa na wasiwasi kuwa huenda kiongozi huyo anajitayarisha kuwania urais 2027 kupitia ufufuzi mpya wa chama chake cha Orange Democratic Movement (ODM). Kwa muda wa wiki mbili sasa, Bw Odinga amekuwa […]

Serikali imeoza – Azimio NA BENSON MATHEKA VINARA wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya, wamehimiza Wakenya kutonyamaza huku serikali ya Kenya Kwanza ikiendeleza walichotaja kama maovu yanayowanyima riziki, haki na kuhujumu demokrasia ambayo nchi imekuwa ikifurahia kwa miaka mingi. Wakisisitiza kuwa muungano huo ungali imara, vinara wenza wa muungano huo wa upinzani walilaumu serikali […]

Viongozi wa ‘Mulembe’ watumia sukari kufufua upya nyota zao NA MARY WANGARI BAADHI ya wanasiasa na viongozi kutoka Magharibi mwa Kenya waliotemwa katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022, wameangaziwa kwa kutumia masaibu yanayoandama sekta ya sukari nchini kama mbinu ya kufufua ndoto zao kisiasa. Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula ameshutumu vikali kundi […]

Mudavadi apeleka waraka wa habari njema Nyanza KASSIM ADINASI Na BENSON MATHEKA MKUU wa Mawaziri Musalia Mudavadi amedokeza uwezekano wa kufanyika kwa handisheki kati ya Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga. Akizungumza akiwa Bondo, Kaunti ya Siaya nyumbani kwa Bw Odinga mwishoni mwa wiki, Bw Mudavadi alisema kuwa “kuna […]

Nitaunda chama changu cha kisiasa, Mwadime amwambia Raila NA LUCY MKANYIKA  GAVANA wa Kaunti ya Taita Taveta Andrew Mwadime amesema kuwa ataunda chama chake cha kisiasa ambapo yeye atakuwa kinara. Akiongea wakati wa mkutano wa wajumbe wa Orange Denocratic Movement (ODM) uliofanyika katika hoteli ya Panlis, Mwatate, gavana Mwadime alisema ataanzisha chama chake baada ya […]

Ningekuwa Rais Wakenya tungekuwa mbali sana – Raila NA WAANDISHI WETU KIONGOZI wa Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga katika ziara yake ya Pwani amesema kama angeshinda urais, Wakenya wangefurahia sana utawala wa serikali ya Azimio La Umoja-One Kenya. Alianzia ziara yake katika Kaunti ya Lamu mnamo Jumatatu ambapo alidai kwamba alipokonywa ushindi katika uchaguzi […]

Raila azuru Kilifi kukipa chama cha ODM mvuto mpya NA ALEX KALAMA KIONGOZI wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amewasili katika ukumbi wa Red Cross mjini Malindi, Jumatano asubuhi kwa ajili ya kuzindua rasmi shughuli ya kuwasajili wanachama katika Kaunti ya Kilifi. Ziara yake inalenga kukipa chama cha ODM mvuto mpya. Bw […]

Mtikiso wa nyayo za Raila waangusha dari la PAA Pwani NA ALEX KALAMA CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kikiwa kinajivunia kupokea baadhi ya wanasiasa waliohama chama cha Pamoja African Alliance (PAA), uhasimu wa kisiasa baina ya vyama hivyo viwili umeonekana kuzuka upya, pande zote mbili ziking’ang’ania ufwasi wa wapigakura katika Kaunti ya Kilifi. Kwa […]


Current track

Title

Artist