Politics

Page: 2

Mnatoza ushuru na hamlipi madaktari, Kalonzo aishangaa serikali NA WYCLIFFE NYABERI KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka ameitaka serikali ya Kenya Kwanza kuwalipa madaktari ili wasitishe mgomo wao. Bw Musyoka alishangaa utawala wa sasa unatoza ushuru mwingi hivyo hakuna kisingizio kwamba hakuna rasilimali za kutosha. Alisema hayo Alhamisi akiwa katika mji wa Nyamira Alidai Rais William […]

Wabunge wa Kiambu wamuandaa Alice Ng’ang’a kwa ugavana 2027 NA LAWRENCE ONGARO VIONGOZI wanane kutoka Kaunti ya Kiambu wameungana katika kinachoonekana ni kumvumisha mbunge wa Thika Alice Ng’ang’a kumuandaa kuwania ugavana mwaka wa 2027. Mnamo Jumatatu, viongozi hao walizuru eneo la Ngoingwa mjini Thika kupima mwitikio wa wananchi kuhusu njama yao. Viongozi hao nyuma ya Bi […]

Kalonzo: Nimeiva kuongoza Azimio NA WYCLIFFE NYABERI KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema ndiye mgombea bora zaidi anayeweza kuongoza muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya kujaza nafasi ya Raila Odinga anayewania uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Makamu huyo wa Rais wa zamani ameongeza kuwa kwa vile yeye ni mwanasiasa mzoefu, […]

Jeremiah Kioni kuendelea kubeba sufuria kichwani NA WANDERI KAMAU KATIBU Mkuu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni, amesema hatasitisha kampeni yake ya kuweka sufuria kichwani almaarufu ‘Sufuria Movement’, akisisitiza ataiendeleza hadi pale serikali itapunguza gharama ya maisha nchini. Kwenye mahojiano na kituo cha redio cha Kameme FM, Bw Kioni alisema kuwa Wakemya wengi bado wanaendelea […]

Steve Mbogo: Serikali inamcheza Raila kuhusu uenyekiti AUC NA WANDERI KAMAU MWANASIASA Steve Mbogo amesema kuwa atampa kiongozi wa ODM Raila Odinga Sh10 milioni ikiwa atafanikiwa kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Februari 2025. Mnamo Ijumaa, Bw Mbogo, aliyewania ubunge katika eneo la Starehe mnamo 2017 kwa tiketi ya ODM, alisema kuwa […]

Refaranda: Wamalwa kupinga miswada ya kubuni vyeo NA WANDERI KAMAU ALIYEKUWA Waziri wa Ulinzi Eugene Wamalwa, amesema ataongoza kampeni za mrengo wa ‘La’ ikiwa kutakuwa na kura ya maoni kupigia kura miswada ya kuwatengenezea wanasiasa vyeo kama ilivyopendekezwa na Ripoti ya Kamati ya Mazungumzo ya Kitaifa (Nadco). Kulingana na Kamati ya Pamoja ya Haki na Masuala […]

Siasa zatingika Rais Ruto akipendekeza mgombea mwenza awe mwanamke NA MWANGI MUIRURI SAUTI ya kiongozi wa nchi katika siasa za Afrika huwa na uzito mwingi na hii ndio sababu wachambuzi wa masuala ya kisiasa tayari wameanza kuichambua kauli ya Rais William Ruto mnamo Alhamisi alipoahidi kwamba mgombea mwenza wake huenda atakuwa mwanamke mwaka 2027. Licha […]

Didmus Barasa amtaka Uhuru kumpigia debe Raila uenyekiti AUC NA OSCAR KAKAI MBUNGE wa Kimilili Didmus Barasa sasa anamtaka Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuvunja kimya chake na kutangaza wazi ikiwa anaunga mkono azma ya kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga kuwania kiti cha mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Kulingana na Bw […]

Je, kikao cha 3 cha Limuru kitauunganisha Mlima Kenya? NA WANDERI KAMAU JE, eneo la Mlima Kenya hatimaye litapata sauti moja ya kisiasa? Hilo ndilo swali ambalo limeibuka, baada ya kubainika kwamba viongozi tofauti wa ukanda huo wanapanga kuandaa Kikao cha Tatu cha Limuru ili kujadili mwelekeo wa kisiasa wa ukanda huo. Taifa Leo imebaini kuwa […]

Chunga sana Raila, Ruto ashauriwa NA JAMES MURIMI VIONGOZI wa Mlima Kenya wamemtaka Rais William Ruto ajihadhari hata anaposhirikiana na Bw Raila Odinga kisiasa, wakisema huenda kinara huyo wa upinzani anaweza akatumia uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) kusambaratisha utawala wa Kenya Kwanza. Wakati huo huo, viongozi hao walisema “watasimama nyuma ya Naibu […]


Current track

Title

Artist