Politics

Page: 3

Ubabe wa kisiasa wa Ford-Kenya na DAP-K watokota Trans Nzoia NA EVANS JAOLA MAKABILIANO makali ya ubabe wa kisiasa yamezuka baina ya viongozi wa vyama vya Democratic Party of Kenya (DAP-K) na Ford-Kenya katika Kaunti ya Trans Nzoia. Madiwani wanaomuunga mkono Gavana George Natembeya katika kaunti hiyo, wanadai kwamba kuna njama zinazoendeshwa na uongozi wa […]

Raila akienda AUC Kenya itakosa upinzani wa nguvu – Mbunge NA OSCAR KAKAI HUKU viongozi wengi kutoka mirengo ya upinzani na serikali ya Kenya Kwanza wakiunga mkono azma ya kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AU), Mbunge Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Pokot Magharibi Rael […]

Sina domodomo isipokuwa kazi tu – Wamatangi NA LAWRENCE ONGARO GAVANA wa Kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi amewasuta mahasimu wake wa kisiasa akisema hana wakati wa kupoteza. Akihutubu katika ukumbi wa Thika alipofanya kikao na wakazi wa Thika ili kutathmini ni kazi ipi amefanya tangu ashike mamlaka, alisema lengo lake kuu kwa wakati huu ni […]

Raila: Mwindaji anayejua kujitafutia windo chakani NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Azimio la Umoja Raila Odinga, ameibukia kuwa mwanasiasa anayejua kujijenga upya na kutorokea baridi ya kisiasa, hata wakati anaposhindwa kwenye chaguzi za urais. Tangu alipowania urais kwa mara ya kwanza mnamo 1997, Bw Odinga amebuni mbinu ya kutumia ujanja wa kisiasa kuhakikisha “anafaidika” pia […]

Kalonzo aimarisha mikakati ya kutoshea kwa viatu vya Raila CHARLES WASONGA Na MOSES NYAMORI JUHUDI za kufufua mrengo wa One Kenya Alliance (OKA) zimeanza kujitokeza kufuatia mkutano ulioitishwa na Mwenyekiti wa chama cha Kanu Gideon Moi mnamo Jumatano, hatua inayoweza kuwa pigo kwa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya. OKA ni sehemu ya Azimio chini […]

Jinsi azma ya Raila AUC inavyozima ndoto za wanasiasa Mlimani – Uchambuzi NA WANDERI KAMAU HUENDA wanasiasa ambao wamekuwa wakitumia jina la kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga kujijenga kisiasa katika ukanda wa Mlima Kenya wakakabiliwa na kibarua kigumu, ikiwa kiongozi huyo atateuliwa kuwa mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Kulingana […]

Simba Arati sasa amtetea Dkt Monda NA WYCLIFFE NYABERI GAVANA wa Kisii Simba Arati amewarai madiwani kutathmini upya hoja inayolenga kumng’atua afisini naibu wake Dkt Robert Monda. Mbunge huyo wa zamani wa Dagoretti Kaskazini, amesema angependa madiwani hao wampe muda asuluhishe tofauti zilizoko baina yake na Dkt Monda bila kumjadili bungeni kwa faida ya ustawi […]

Raila amepenya serikalini? NA WANDERI KAMAU MASWALI yameibuka kuhusu ikiwa kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, hatimaye ameingia serikalini, baada ya kuanza kutangamana na viongozi wakuu wa serikali ya Kenya Kwanza, akiwemo Rais William Ruto. Bw Odinga pia amekuwa akitangamana na mawaziri. Mnamo Jumatatu, iliibuka kwamba Bw Odinga aliandamana na Rais William Ruto […]

Vyama vya UDA na ODM vyang’ang’ania wanachama NA LUCY MKANYIKA JOTO la kisiasa katika Kaunti ya Taita Taveta linazidi kuchemka, huku vyama vya UDA na ODM vikizidi kuvutia wanachama wapya kujiandaa kwa uchaguzi wa 2027. Licha ya kuwa uchaguzi mkuu ujao upo mbali, vyama hivyo vinaendelea kujipanga vikizingatia umuhimu wa kuwa na idadi kubwa ya […]

Hongo yatajwa sababu ya madiwani kumwinda Dkt Monda NA WYCLIFFE NYABERI MADIWANI wanaotaka Naibu Gavana wa Kisii Robert Monda ang’atuliwe afisini wametoa sababu tatu zinazotetea Mswada wao  uliowasilishwa bungeni mapema Jumatano. Diwani wa Ichuni Wycliffe Siocha, aliyeleta hoja hiyo, alidai Dkt Monda alichukua hongo ya Sh800,000 kutoka kwa mkazi mmoja wa Kaunti ya Kisii (Denis Mokaya) ndipo […]


Current track

Title

Artist